/ Mipangilio ya Mtandao / Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao hadi Ethaneti kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao hadi Ethaneti kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Fuata hatua zilizo hapa chini ili kubadilisha muunganisho wa mtandao hadi Ethaneti kutoka Wi-Fi kwa kutumia paneli dhibiti.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Usanidi wa Lana ya Waya.

  3. Donoa Anza Kusanidi.

  4. Kagua ujumbe, na kisha ufunge skrini.

    Skrini hufunga kiotomatiki baada ya kipindi maalum cha muda.

  5. Unganisha kichapishi kwenye ruta kwa kutumia kebo ya Ethaneti.