Kupokea Faksi Kikuli

Unapounganisha simu na kuweka mpangilio wa Hali ya Kupokea wa kichapishi kwenye Mwenyewe, fuata hatua zilizo hapa chini ili upokee faksi.

  1. Wakati simu inalia, inua mkono wa simu.

  2. Wakati unasikia toni ya faksi, teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani ya kichapishi.

    Kumbuka:

    Ukiwezesha kipengele cha Pokea kwa Mbali, unaweza kuanza kupokea faksi kwa kutumia simu iliyounganishwa tu.

  3. Donoa Tuma/Pokea.

  4. Teua Pokea.

  5. Donoa , na kisha ukate simu.