Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao hadi Ethaneti kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kupokea Faksi kwenye Kichapishi
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Ikoni zifuatazo zinaonekana kwenye skrini ya LCD kulingana na hali ya printa.
![]() |
Huonyesha skrini ya Hali ya Ugavi. Unaweza kuangalia kiwango cha wino na kiwango cha maisha ya huduma ya kikasha cha ukarabati. |
|
![]() |
Huonyesha hali ya muunganisho wa mtandao. Teua ikoni ili kuangalia na kubadilisha mipangilio ya sasa. Hii ni njia mkato kwa menyu ifuatayo. Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Usanidi wa Wi-Fi |
|
![]() |
Kichapishi hiki hakijaunganishwa kwa mtandao wa waya (Ethaneti) au wacha kuuweka. |
|
![]() |
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa waya (Ethaneti). |
|
![]() |
Kichapishi hiki hakijaunganishwa kwa mtandao wa waya (Ethaneti). |
|
![]() |
Kichapishi hiki kinatafuta SSID, anwani ya IP ya kukiondoa, au kukumbana na tatizo na mtandao wa pasi waya (Wi-Fi). |
|
![]() |
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi). Idadi ya pau inaonyesha nguvu ya wimbi la muunganisho. Unapokuwa na miambaa mingi, ndivyo muunganisho unaimarika. |
|
![]() |
Kichapishi hakijaunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi) katika modi ya Wi-Fi Direct (AP Rahisi). |
|
![]() |
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi) katika modi ya Wi-Fi Direct (AP Rahisi). |
|
![]() |
Huonyesha skrini ya Mipangilio ya Sauti ya Kifaa. Unaweza kuweka Nyamazisha na Hali Tulivu. Pia unaweza kufikia menyu ya Sauti kutoka kwenye skrini. Hii ni njia mkato kwa menyu ifuatayo. Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Sauti |
|
![]() ![]() |
Huonyesha iwapo Hali Tulivu imewekwa klwa kichapishi au la. Kipengele kinapowezeshwa, kelele iliyopigwa na operesheni za kichapishi inapunguika, lakini kasi ya kuchapisha inaweza kupungua. Hata hivyo, huenda kelele isipungue kwenye aina ya karatasi iliyoteuliwa na ubora wa chapisho. |
|
![]() |
Huonyesha kuwa Nyamazisha imewekwa klwa kichapishi. |
|
![]() |
Huonyesha skrini ya Maelezo ya Data ya Faksi. |
|
![]() |
Huonyesha kuwa kuna maelezo ya ziada. Teua ikoni ili kuonyesha ujumbe. |
|
![]() |
Huonyesha tatizo la vipengee. Teua ikoni ili kuangalia jinsi ya kutatua tatizo. |
|
![]() |
Huonyesha kuwa kuna data ambayo bado haijasomwa, kuchapishwa, au kuchapishwa. Idadi iliyoonyeshwa huonyesha idadi ya vipengee vya data. |
|
















