Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao hadi Ethaneti kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kupokea Faksi kwenye Kichapishi
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Hupunguza hati kubwa zilizopokewa ili zotoshee kwenye chanzo cha karatasi. Upunguzaji huenda usiwezekane kulingana na data iliyopokewa. Ikiwa kipengele hiki kimezimwa, hati kubwa huchapishwa kwa ukubwa wake asili kwenye karatasi nyingi, au ukurasa tupu wa pili unaweza kutolewa.
Unda mipangilio ya kugawa ukurasa wakati ukubwa wa waraka ni kubwa kuliko ukubwa wa karatasi iliyopakiwa kwenye kichapishi.
Huzungusha faksi zilizopokewa kama mwelekeo wa ulalo, nyaraka za ukubwa wa A5 ili iweze kuchapishwa kwenye ukubwa sahihi wa karatasi. Mpangilio huu unatekelezwa wakati mpangilio wa ukubwa wa karatasi umewekwa kwa A5. Angalia menyu ifuatayo.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Mipangilio Chanzo Karatasi > Mipangilio ya Karatasi
Maelezo ya mapokezi ya machapisho kwenye faksi iliyopokewa, hata iwapo mtumaji hajaweka maelezo ya kijajuu. Maelezo ya mapokezi yanajumuisha tarehe na saa, Kitambulisho cha mtumaji, na nambari ya ukurasa (kama vile “P1”). Wakati Mipangilio ya Kugawanya Kurasa imewezeshwa, nambari ya kugawanya ukurasa pia inajumuishwa.
Huwezi kuchapisha kurasa anuwai za nyaraka zilizopokewa kwenye pande zote za karatasi.
Teua chagua ili kuanza kuchapisha nyaraka zilizopakiwa.
Kurasa Zote Zimepokewa: Baada ya kupokea kurasa zote, uchapishaji unaanza kutoka kwenye ukurasa wa kwanza.
Ukuras. Kwanza Umepokewa: Huanza kuchapisha ukurasa wa kwanza kupokewa, na kisha huchapisha kwa utaratibu kama kurasa zinapokewa. Iwapo kichapishi hakiwezi kuchapisha, kama vile wakati inachapisha kazi nyingine, kichapishi huanza kuchapisha kurasa zilizopokewa kama bechi zinapopatikana.
Huchapisha hati zilizopokewa kutoka kwa ukurasa wa mwisho (uchapishaji kwa mpangilio wa kupungua) ili hati zilizochapishwa zinapngwe kwa mpangilio sahihi wa kurasa. Wakati kumbukumbu ya printa inapungua, kipegele hiki huenda kizipatikane.
Uhifadhi hati zilizopokewa wakati wa kipindi maalum cham uda katika kumbukumbu ya printa bila kuzichapisha. Wakati ambao umebainishwa ili kuanzisha upya uchapishaji, hati huchapishwa kiotomatiki. Kipengele hiki kinaweza kutumiwa kuzuia kelele usiku au kuzuia hati za usiri kufichuliwa wakati uko mbali. Kabla ya kutumia kipengele hiki, hakikisha kuna kumbukumbu ya kutosha.
Hupunguza kelele ambazo kichapishi hutoa unapochapisha faksi, hata hivyo, kasi ya kuchapisha inaweza kupunguzwa.