/ Kunakili / Kunakili na Nakala Asili Nyingi kwenye Laha Moja

Kunakili na Nakala Asili Nyingi kwenye Laha Moja

Unaweza kunakili nakala asili mbili kwenye laha moja la karatasi.

  1. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri > Kurasa Nyingi, na uteue 2-juu.

    Pia unaweza kubainisha mpangilio wa muundo na mwelekeo wa nakala asili.

  3. Teua kichupo cha Nakili, na kisha udonoe .