/ Kutuma Faksi / Kupokea Faksi kwenye Kompyuta / Kukatisha Faksi Zilizopokewa kwenye Kompyuta

Kukatisha Faksi Zilizopokewa kwenye Kompyuta

Ili kukatisha faksi kwenye kompyuta, badilisha mipangilio kwenye kichapishi.

Kumbuka:

Pia unaweza kubadilisha mipangilio kwa kutumia FAX Utility. Hata hivyo, iwapo kuna faksi zozote ambazo hazijahifadhiwa kwenye kompyuta, huwezi kubadilisha mipangilio.

  1. Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea.

  2. Teua Faksi Towe > Hifadhi kwenye Kompyuta > La.