/ Kutuma Faksi / Kupokea Faksi kwenye Kichapishi / Njia Tofauti za Kupokea Faksi / Kuunda Mipangilio ya Kuzuia Faksi Taka

Kuunda Mipangilio ya Kuzuia Faksi Taka

Unaweza kuzuia faksi taka.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa.

  3. Teua Faksi ya Kukataliwa na kisha uwezesha chaguo zifuatazo.

    • Orodha ya Nambari Zilizozuiwa: Hukataa faksi ambazo ziko kwenye Orodha ya Nambari ya Ukataaji.
    • Kijajuu cha Faksi kiko Tupu: Hukataa faksi ambazo zina maelezo tupu ya kijajuu.
    • Waasiliani Wasiosajiliwa: Hukataa faksi ambazo hazijasajiliwa kwenye orodha ya mwasiliani.
  4. Iwapo unatumia Orodha ya Nambari Zilizozuiwa, donoa , teua Hariri Orodha ya Nambari Zilizozuiwa, na kisha uhariri orodha.