Faksi Towe

Unaweza kuweka ili kuhifadhi nyaraka zilizopokewa kwenye kikasha pokezi au kwenye kompyuta.Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Hifadhi kwenye Kikasha:

Huhifadhi faksi zilizopokewa kwenye kikasha pokezi cha kichapishi.

Hifadhi kwenye Kompyuta:

Hugeuza nyaraka zilizopokewa hadi kwenye umbizo la PDF na kuzihifadhi kwenye kompyuta iliyounganishwa kwenye kichapishi.