Kusajili Vijajuu Anuwai vya Kutuma Faksi

Unaweza kusajili hadi vijajuu 21 kama maelezo ya mtumaji.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi.

  3. Teua Kijajuu, donoa uga wa Nambari Yako ya Simu, ingiza nambari yako ya simu, na kisha udonoe OK.

  4. Teua mojawapo ya visanduku chini ya orodha ya Kijajuu cha Faksi, ingiza maelezo ya kijajuu ya faksi, na kisha udonoe OK.