/ Mipangilio ya Mtandao / Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Kumbuka:

Wakati muunganisho wa Wi-Fi Direct wa (AP Rahisi) unalemazwa, kompyuta zote na vifaa maizi vilivyounganishwa kwenye kichapishi katika muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) vinatenganishwa.Iwapo unataka kukata muunganisho wa kifaa maalum, kata muunganisho kutoka kwenye kifaa badala ya kichapishi.

  1. Donoa kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Wi-Fi Direct.

    Maelezo ya Wi-Fi Direct yanaonyeshwa.

  3. Donoa Badilisha Mipangilio.

  4. Teua Lemaza Wi-Fi Direct.

  5. Donoa Lemaza mipangilio.

  6. Wakatu ujumbe wa ukamilisho umeonyeshwa, funga skrini.

    Skrini hufunga kiotomatiki baada ya kipindi maalum cha muda.

  7. Funga skrini ya Mipangilio ya Muunganis. Mtandao.