/ Kutuma Faksi / Kuweka Faksi / Kuweka Mipangilio Msingi ya Faksi

Kuweka Mipangilio Msingi ya Faksi

Kwanza weka mipangilio msingi ya faksi kama vile Hali ya Kupokea ukitumia Sogora ya Mpangilio wa faksi, na kisha usanidi mipangilio ingine inavyohitajika.

Sogora ya Mpangilio wa faksi huonekana kiotomatiki wakati printa imewashwa kwa mara ya kwanza.Unapoweka mipangilio hiyo, huhitaji kuiweka tena ila mazingira ya muunganisho yabadilike.