/ Kutuma Faksi / Chaguo za Menyu kwa Mipangilio ya Faksi / Sogora ya Mpangilio wa faksi

Sogora ya Mpangilio wa faksi

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Sogora ya Mpangilio wa faksi

Teuia ili kuweka mipangilio msingi ya faksi kwa kufuata maelekezo yaliyo kwenye skrini.Kwa maelezo angalia ukurasa unaofafanua mipangilio msingi ya faksi.