Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Unapochapisha ili kutoshea kwenye ukubwa wa karatasi, teua Ushughulikiaji Karatasi kutoka kwenye menyu ibukizi, na kisha uteue Pima ili kutoshea ukubwa wa karatasi.Teua ukubwa wa karatasi uliyoipakia kwenye kichapishi katika Ukubwa wa Karatasi wa Mafikio.Unapopunguza uklubwa wa waraka, teua Punguza kipimo pekee.
Unapochapisha kwa asilimia maalum, fanya mojawapo ya yafuatayo.
Teua Chapisha kutoka kwenye menyu ya Faili ya programu-tumizi.Teua Kichapishi, ingiza asilimia kwenye Kipimo, na kisha ubofye Chapisha.
Teua Usanidi wa Ukurasa kutoka kwenye menyu ya Faili ya programu-tumizi.Teua kichapishi chako kwenye Umbizo Kwa, ingiza asilimia kwenye Kipimo, na kisha ubofye Sawa.
Teua ukubwa wa karatasi uliyoweka kwenye programu-tumizi kama mpangilio wa Ukubwa wa Karatasi.