Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Teua kipengee cha mentu kwa mipangilio, na kisha uteue au ubainishe thamani za mpangilio.
Jina la Kifaa
Unaweza kuingiza vibambo vifuatavyo.
Kiwango cha vibambo: 2 hadi 15 (lazima uingize angalau vibambo 2).
Vibambo vinavyotumika: A hadi Z, a hadi z, 0 hadi 9, -.
Vibambo ambavyo huwezi kutumia upande wa juu: 0 hadi 9, -.
Vibambo ambavyo huwezi kutumia upande wa chini: -.
TCP/IP
Otomatiki
Teua wakati unatumia kipanga njia pasiwaya cha nyumbani au unaruhusu anwani ya IP kupatikana kiotomatiki kwa DHCP.
Mwongozo
Teua wakati hutaki anwani ya IP ya kichapishi kubadilishwa. Ingiza anwani kwa Anwani ya IP, Anwani Fiche, na Njia chagu-msingi, na uunde mipangilio ya Seva ya DNS kulingana na mazingira yako ya mtandao.
Unapoteua Otomatiki kwa mipangilio ya kazi ya anwani ya IP, unaweza kuteua mipangilio ya seva ya DNS kutoka Mwenyewe au Otomatiki. Iwapo huwezi kupata anwani ya seva ya DNS kiotomatiki, teua Mwenyewe, na kisha uingize seva msingi ya DNS na anwani ya pili ya seva ya DNS moja kwa moja.
Seva mbadala
Usit'e
Teua unapotumia kichapishi katika mazingira ya mtandao wa nyumbani.
Tumia
Teua unapotumia seva ya proksi katika mazingira ya mtandao na unataka kuiweka kwenye kichapishi. Ingiza anwani ya seva ya proksi na nambari ya kituo.
Anwani ya IPv6
Wezesha
Teua hii unapotumia anwani ya IPv6.
Lemaza
Teua hii unapotumia anwani ya IPv4.