/ Kuhusu Mwongozo Huu / Marejeleo ya Mfumo wa Uendeshaji

Marejeleo ya Mfumo wa Uendeshaji

Windows

Kwenye mwongozo huu, maneno kama vile “Windows 10”, “Windows 8.1”, “Windows 8”, “Windows 7”, “Windows Vista”, “Windows XP”, “Windows Server 2016”, “Windows Server 2012 R2”, “Windows Server 2012”, “Windows Server 2008 R2”, “Windows Server 2008”, “Windows Server 2003 R2”, na “Windows Server 2003” yanarejelea mifumo ifuatayo ya uendeshaji. Zaidi ya hayo, “Windows” hutumiwa kumaanisha matoleo yote.

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 10

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 8.1

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 8

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 7

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Vista®

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® XP

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® XP Professional x64 Edition

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2016

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2012 R2

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2012

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2008 R2

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2008

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2003 R2

  • Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2003

Mac OS

Kwenye mwongozo huu, "Mac OS" inatumika kurejelea macOS Mojave, macOS High Sierra, macOS Sierra, OS X El Capitan, OS X Yosemite, OS X Mavericks, OS X Mountain Lion, Mac OS X v10.7.x, na Mac OS X v10.6.8.