Mpokeaji

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini:

Faksi > Mpokeaji

Waasiliani

Chagua mpokeaji kutoka kwenye orodha ya waasiliani. Unaweza pia kuongeza au kuhariri mwasiliani.

Hivi karibuni

Chagua mpokeaji kutoka kwa historia ya faksi zilizotumwa. Unaweza pia kuongeza mpokeaji kutoka kwenye oorodha ya waasiliani.

Kibodi

Ingiza nambari ya faksi kwa mikono.