/ Kutayarisha Kichapishi / Kudhibiti Waasiliani / Kisajili au Kuhariri Waasiliani

Kisajili au Kuhariri Waasiliani

  1. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Waasiliani.

  3. Fanya moja kati ya zifuatazo.

    • Ili kusajili mwasiliani mpya, teua Ongeza Ingizo kwa kubonyeza kitufe cha +, na kisha uteue Ongeza Mwasiliani.
    • Ili kuhariri mwasiliani, sogeza kishale kwenye mwasiliani lengwa kwa kutumia vitufe vya , bonyeza kitufe cha , na kisha uteue Hariri.
    • Ili kufuta mwasiliani, sogeza kishale kwenye mwasiliano lengwa kwa kutumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha . Teua Futa, na kisha uteue Ndiyo. Hufai kutekeleza utaratibu unaofuata.
  4. Weka mipangilio inayofaa.

    Kumbuka:

    Wakati unaingiza nambari ya faksi, ingiza msimbo wa ufikiaji wa nje mwanzoni mwa nambari ya faksi ikiwa mfumo wako wa simu ni wa PBX na unahitaji msimbo wa kufikia ili upate laini ya nje. Ikiwa msimbo wa ufikiaji umewekwa katika mpangilio wa Aina ya Laini, ingiza hashi (#) badala ya msimbo halisi wa ufikiaji. Ili kuongeza kusitisha (sitisha kwa sekunde tatu) wakati wa kupiga ingiza kistari kifupi (-).

  5. Teua Imefanyika ili kutekeleza mipangilio.