/ Kutayarisha Kichapishi / Kudhibiti Waasiliani / Kisajili au Kuhariri Waasiliani wa Kikundi

Kisajili au Kuhariri Waasiliani wa Kikundi

Kuongeza anwani kwa kundi kunakuwezesha kutumia faksi kwa miishilio mbalimbali kwa wakati mmoja.

  1. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Waasiliani.

  3. Fanya moja kati ya zifuatazo.

    • Ili kusajili waasiliani wapya wa kikundi, teua Ongeza Ingizo kwa kubonyeza kitufe cha +, na kisha uteue Ongeza Kikundi.
    • Ili kuhariri waasiliani wa kikundi, sogeza kishale kwenye mwasiliani wa kikundi lengwa kwa kutumia vitufe vya , bonyeza kitufe cha , na kisha uteue Hariri.
    • Ili kufuta waasiliani wa kikundi, sogeza kishale kwenye mwasiliano lengwa kwa kutumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha . Teua Futa, na kisha uteue Ndiyo. Hufai kutekeleza utaratibu unaofuata.
  4. Ingiza au hariri Jina la Kikundi na Neno la Kiolesura, na kisha uteue Waasiliani Waliongezwa kwenye Kikundi (Inahitajika).

  5. Teua waasiliani unaotaka kusajili kwenye kikundi kwa kubonyeza kitufe cha OK, na kisha uteue Funga.

    Kumbuka:
    • Unaweza kuzajili hadi waasiliani 99.

    • Ili kuondoa uteuzi wa mwasiliani, bonyeza kitufe cha OK tena.

  6. Teua Imefanyika ili kutekeleza mipangilio.