Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Vuta nje auni ya karatasi.

Telezesha miongozo ya kingo.

Pakia karatasi katikati ya auni ya karatasi huku upande unaweza kuchapishwa ukiangalia juu.

Usiweke zaidi ya upeo wa idadi ya karatasi uliotajwa kwa karatasi. Kwa karatasi tupu, usiweke karatasi hadi juu ya mstari uliochini ya alama ya
upande wa dnani wa mwongozo wa kingo.
Pakia ukingo mfupi wa karatasi kwanza. Hata hivyo, wakati umeweka ukingo mrefu kama upana wa ukubwa wa mtumiaji uliofafanuliwa, pakia ukingo mrefu wa karatasi kwanza.

Pakia laha moja la karatasi wazi la ukubwa uliofafanuliwa kwa mashimo ya kuweka pamoja upande wa kushoto au kulia.
Rekebisha mkao wa uchapishaji wa faili yako ili uepuke kuchapisha juu ya mashino hayo.
Uchapishaji otomatiki wa pande 2 haupatikani kwa karatasi iliyotobolewa mapema.
Telezesha miongozo ya kingo kwenye ukingo wa karatasi.

Kwenye paneli dhibiti, weka ukubwa ba aina ya karatasi uliyoweka katika eneo la nyuma la karatasi.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Pia unaweza kuonyesha skrini ya mipangilio ya ukubwa na aina ya karatasi kwa kuteua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Mipangilio Chanzo Karatasi > Mipangilio ya Karatasi.
Kwa karatasi ya kichwa cha barua, teua Letterhead kama aina ya karatasi.
Kwa karatasi ya kichwa cha barua, iwapo utachapisha kwenye karatasi ambayo ni ndogo kuliko mpangilio kwenye kiendeshi cha kichapishi, huenda kichapishi kikachapisha zaidi ya kingo za karatasi zinazoweza kusababisha uchafu wa wino kwenye machapisho yako na wino zaidi kuongezeka ndani ya kichapishi. Hakikisha kuwa unateua mpangilio wa ukubwa sahihi wa karatasi.
Uchapishaji wa pande 2 na uchapishaji usio na kingo haupatikani kwa karatasi yenye mwambaa kichwa. Pia, huenda kasi ya uchapishaji ikapungua.
Toa trei ya kushikilia nakala zinazochapishwa.

Rudisha karatasi zinazosalia kwenye paketi. Ukiziwacha katika printa, karatasi hizo zinaweza kukunjika au ubora wa uchapishaji unaweza kupungua.