/ Kutatua Matatizo / Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi / Kurasa ziko Tupu au Kiwango Kidogo tu cha Matini Kimechapishwa kwenye Ukurasa wa Pili katika Faksi Zilizopokewa

Kurasa ziko Tupu au Kiwango Kidogo tu cha Matini Kimechapishwa kwenye Ukurasa wa Pili katika Faksi Zilizopokewa

Unaweza kuchapisha katika ukurasa mmoja kwa kutumia vipengele Futa Da. Uch'ji Baada ya Kugawanya kwenye Mipangilio ya Kugawanya Kurasa.

Teua Futa Upande wa juu au Futa Upande wa Chini kwenye Futa Da. Uch'ji Baada ya Kugawanya, na kisha urekebishe Kizingiti. Kuongeza kizingiti kunaongeza kiwango kilichofutwa; kizingiti cha juu hukupa uwezekano mkubwa wa kuchapisha kwenye ukurasa mmoja.