Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Mawimbi ya redio kutoka kwa printa hii yanaweza kuathiri ufanyaji wa vifaa vya kielektroniki vya matibabu vibaya, na kusababisha visifanye kazi ipasavyo.Wakati unatumia printa hii ndani ya kituo cha afya au karibu na kifaa cha matubabu, fuata maelekezo kutoka kwa mfanyakazi aliyeidhinishwa anayewakilisha kituo cha afya, na ufuate maonyo na maelekezo yote yaliyochapishwa kwenye kifaa cha matibabu.
Mawimbi ya redio kutoka kwa kifaa hiki yanaweza kuathiri ufanyaji wa vifaa vinavyodhibitiwa kiotomatiki kama vile milango otomatiki au vingo'ra otomatiki vya moto, na yanaweza kusababisha ajali kwa sababu ya kutofanya kazi ipasavyo.Wakati unatumia printa hii karibu na vifaa vinavyodhibitiwa kiotomatiki, fuata maonyo na maelekezo yote ya vifaa hivi.