/ Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu / Programu-tumizi ya Kusanidi Vifaa Vingi (EpsonNet Config)

Programu-tumizi ya Kusanidi Vifaa Vingi (EpsonNet Config)

EpsonNet Config ni programu inayokuruhusu kuweka anwani na itifaku za kusano ya mtandao.Angalia mwongozo wa uendeshaji kwa EpsonNet Config au msaada wa programu-tumizi kwa maelezo zaidi.

Kuanzia kwenye Windows
  • Windows 10/Windows Server 2016

    Bofya kitufe cha kuwasha, na kisha uteue EpsonNet > EpsonNet Config.

  • Windows 8.1/Windows 8/Windows Server 2012 R2/Windows Server 2012

    Andika jina la programu katika sehemu ya utafutaji, na kisha uchague ikoni inayoonekana.

  • Windows 7/Windows Vista/Windows XP/Windows Server 2008 R2/Windows Server 2008/Windows Server 2003 R2/Windows Server 2003

    Bofya kitufe cha kuanza, na uchague Programu Zote au Programu > EpsonNet > EpsonNet Config SE > EpsonNet Config.

Kuanzia kwenye Mac OS

Nenda kwenye > Programu-tumizi > Epson Software > EpsonNet > EpsonNet Config SE > EpsonNet Config.