Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Wakati simu hutoa mlio, unaweza kujibu mlio kikuli kwa kupokea simu.
Unaposikia isahara ya faksi (kitengo cha kupima kasi):
Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani ya kichapishi, teua Tuma/Pokea > Pokea, na kisha uteue
. Pili, kata simu.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Iwapo mlio ni wa simu ya sauti:
Unaweza kujibu simu kama kawaida.
Wakati Pokea kwa Mbali imewekwa, unaweza kupokea faksi kwa kuingiza tu Msimbo wa Kuanza.
Wakati simu inalia, inua mkono wa simu. Unaposikia toni ya faksi (baud), bonyeza dijiti mbili ya Msimbo wa Kuanza, na kisha kata simu.