/ Kutuma Faksi / Kutumia Vipengele Vingine vya Kutuma Faksi / Kuchapisha Ripoti ya Faksi Kikuli

Kuchapisha Ripoti ya Faksi Kikuli

  1. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua (Zaidi).

  3. Teua Ripoti ya Faksi.

  4. Teua menyu unayotaka kuchapisha, na kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini.

    Kumbuka:

    Unaweza kubadilisha umbizo la ripoti. Kutoka kwa skrini ya nyumbani, teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Ripoti, na kisha ubadilishe mipangilio ya Ambatisha Tasw. Faksi kwenye ripoti au Umbizo la Ripoti.