Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Ikoni zifuatazo zinaonekana kwenye skrini ya LCD kulingana na hali ya printa.
![]() |
Huonyesha hali ya matumizi. Teua ikoni ili kukagua makadirio ya maisha ya huduma ya kikasha cha matengenezo. |
|
![]() |
Huonyesha hali ya muunganisho wa mtandao. Teua ikoni ili kuangalia na kubadilisha mipangilio ya sasa. Hii ni njia mkato kwa menyu ifuatayo. Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Usanidi wa Wi-Fi |
|
![]() |
Kichapishi hiki hakijaunganishwa kwa mtandao wa waya (Ethaneti). |
|
![]() |
Kichapishi hiki kinatafuta SSID, anwani ya IP ya kukiondoa, au kukumbana na tatizo na mtandao wa pasi waya (Wi-Fi). |
|
![]() |
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi). Idadi ya pau inaonyesha nguvu ya wimbi la muunganisho. Unapokuwa na miambaa mingi, ndivyo muunganisho unaimarika. |
|
![]() |
Kichapishi hakijaunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi) katika modi ya Wi-Fi Direct (AP rahisi). |
|
![]() |
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi) katika modi ya Wi-Fi Direct (AP rahisi). |
|
![]() |
Huonyesha skrini ya Mipangilio ya Sauti ya Kifaa. Unaweza kuweka Nyamazisha na Hali Tulivu. Pia unaweza kufikia menyu ya Sauti kutoka kwenye skrini. Hii ni njia mkato kwa menyu ifuatayo. Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Sauti |
|
![]() ![]() |
Huonyesha iwapo Hali Tulivu imewekwa klwa kichapishi au la. Kipengele kinapowezeshwa, kelele iliyopigwa na operesheni za kichapishi inapunguika, lakini kasi ya kuchapisha inaweza kupungua. Hata hivyo, huenda kelele isipungue kwenye aina ya karatasi iliyoteuliwa na ubora wa chapisho. |
|
![]() |
Huonyesha kuwa Nyamazisha imewekwa klwa kichapishi. |
|
![]() |
Huonyesha skrini ya Maelezo ya Data ya Faksi. Wakati kuna nyaraka zilizopokewa ambazo bado hazijasomwa au kuhifadhiwa, idadi ya kazi ambazo hazijachakatwa huonyeshwa kwenye ikoni. |
|
![]() |
Huonyesha kuwa kuna maelezo ya ziada. Teua ikoni ili kuonyesha ujumbe. |
|
![]() |
Huonyesha tatizo la vipengee. Teua ikoni ili kuangalia jinsi ya kutatua tatizo. |
|













