/ Utambazaji / Utambazaji Kupitia Paneli Dhibiti

Utambazaji Kupitia Paneli Dhibiti

Unaweza kutuma picha zilizotambazwa kutoka kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hadi mafikio yafuatayo.

Kompyuta

Unaweza kuhifadhi picha iliyotambazwa kwenye kompyuta iliyounganishwa kwenye kichapishi.Kabla ya kutambaza, sakinisha Epson Scan 2 na Epson Event Manager kwenye kompyuta yako.

Wingu

Unaweza kutambaza picha kwenye huduma za wingu.Kabla ya kutambaza, unda mipangilio kwenye Epson Connect.

WSD

Unaweza kuhifadhi picha iliyotambazwa kwenye kompyuta iliyounganishwa kwenye kichapishi, kwa kutumia kipengele cha WSD.Iwapo unatumia Windows 7/Windows Vista, unahitaji kufanya mipangilio ya WSD kwenye kompyuta yako kabla ya kutambaza.