/ Utambazaji / Utambazaji Kupitia Paneli Dhibiti / Utambazaji Kwenye Wingu / Chaguo za Menyu Msingi za Kutambaza kwenye Wingu

Chaguo za Menyu Msingi za Kutambaza kwenye Wingu

Kumbuka:

Huenda vipengee visipatikane kulingana na mipangilio mingine uliyofanya.

Nyeusi na Nyeupe/Rangi:

Teua iwapo utatambaza kwenye rangi au katika monokromu.

JPEG/PDF:

Teua umbizo ambalo unataka kuhifadhi taswira zilizotambazwa.