Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Kwenye dirisha la Chaguo la Fomati ya Picha katika Epson Scan 2, hakikisha kuwa Lugha ya Maandishi imewekwa sahihi kwenye kichupo cha Maandishi.
Hakikisha kuwa nakala asili imewekwa wima.
Tumia nakala asili iliyo na matini yanayoonekana vizuri. Huenda utambuzi wa matini ukakataa kwa aina zifuatazo za nakala asili.
Nakala asili zilizonakiliwa mara nyingi
Nakala asili zilizopokewa kwa faksi (katika ulinganuzi wa chini)
Nakala asili ambapo uwekaji nafasi ya herufi au mstari ni ndogo zaidi
Nakala asili zizlizo na mistari au mistari ya chini juu ya matini
Nakala asili zilizo na matini yaliyoandikwa kwa mkono
Nakala asili zilizo na mikunjo au kasoro
Kwenyen Epson Scan 2, whakati Aina ya Picha katika kichupo cha Mipangilio Kuu imewekwa kwa Ny'i na Nyeupe, rekebisha Kiwango cha juu kwenye kichupo cha Mipangilio ya hali ya Juu. Unapoongeza Kiwango cha juu, eneo la rangi nyeusi huwa kubwa.
Kwenye Epson Scan 2, teua kichupo cha Mipangilio ya hali ya Juu, na kisha Chaguo la Picha > Uboreshaji Maandishi.