Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Ikiwa bidhaa yako ya Epson haifanyi kazi ipasavyo na huwezi kutatua shida hiyo ukitumia taarifa ya usuluhishaji iliyo katika miongozo ya bidhaa yako, wasiliana na huduma ya usaidizi ya Epson kwa usaidizi. Ikiwa usaidizi wa Epson wa eneo lako haujaorodheshwa hapa chini, wasiliana na muuzaji aliyekuuzia bidhaa yako.
Usaidizi wa Epson utakusaidia haraka zaidi ukiwapa taarifa ifuatayo:
Nambari mfululizo ya bidhaa
(Lebo ya nambari mfululizo huwa upande wa nyuma wa bidhaa.)
Modeli ya bidhaa
Toleo la programu ya bidhaa
(Bofya Kuhusu, Taarifa ya Toleo, au kitufe sawa katika programu ya bidhaa.)
Chapa na modeli ya kompyuta yako
Jina na toleo la programu endeshi ya kompyuta yako
Majina na matoleo ya vipengele vya programu unavyotumia kwa kawaida na bidhaa yako
Kulingana na bidhaa, data ta orodha ya kudayo kwa faksi/au mipangilio ya mtandao inaweza kuhifadhiwa katika kumbukumbu ya bidhaa. Kwa sababu ya kuharibika au ukarabati wa bidhaa, data na/au mipangilio inaweza kufutika. Epson haitawajibika kwa kupotea kwa data yoyote, kwa kuakibisha au urejeshi wa tara na/au mipangilio hata wakati wa muda wa udhamini. Tunapendekeza kwamba uakibishe data mwenye au uinakili.