Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Epson Photo+ ni programu inayokuruhusu kuchapisha picha kwa urahisi kwa miundo tofauti. Pia unaweza kufanya marekebisho ya taswira na kurekebisha mkao unapotazama uhakiki wa waraka wako. Pia unaweza kuongeza mwangaza kwenye taswira zako kwa kuongeza matini na mihuri unapopenda. Unapochapisha kwenye karatasi hjalali la picha la Epson, utendaji wa wino unetumika kwa upeo wa juu kuunda ukamilisho maridadi kwa rangi nzuri zaidi.
Angalia msaada wa programu kwa maelezo.
Programu endeshi za Windows Server hazikubaliwi.
Ili utumie programu hii kiendeshji cha kichapishi kinahitaji kusakinishwa.
Windows 10/Windows Server 2016
Bofya kitufe cha kuwasha, na kisha uteue Epson Software > Epson Photo+.
Windows 8.1/Windows 8/Windows Server 2012 R2/Windows Server 2012
Andika jina la programu katika sehemu ya utafutaji, na kisha uchague ikoni inayoonekana.
Windows 7/Windows Vista/Windows XP/Windows Server 2008 R2/Windows Server 2008/Windows Server 2003 R2/Windows Server 2003
Bofya kitufe cha kuanza, na uchague Programu Zote au Programu > Epson Software > Epson Photo+.
Teua Nenda > Programu > Epson Software > Epson Photo+.