Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
|
Usalama |
UL60950-1 CAN/CSA-C22.2 No.60950-1 |
|
EMC |
FCC Part 15 Subpart B Class B CAN/CSA-CEI/IEC CISPR 22 Class B |
Kifaa hiki kina modyuli ifuatayo ya pasiwaya.
Mtengenezaji: Seiko Epson Corporation
Aina: J26H006
Bidhaa hii inalingana na Sehemu ya 15 ya Sheria za FCC na RSS-210 ya Kanuni za IC. Epson haitakubali wajibu wa kutoridhisha mahitaji ya ulinzi unaotokana na urekebishaji wa bidhaa ambao haujapendekezwa. Matumizi yanategemea masharti mawili yafuatayo: (1) huenda kifaa hiki kikasababisha mwingiliano mbaya, na (2) kifaa hiki lazima kikubali mwingiliano wowote uliopokewa, ikiwa ni pamoja na mwingiliano ambao unaweza kusababisha shughuli isiyohitajika ya kifaa.
Ili kuzuia mwingiliano wa redio na huduma yenye leseni, kifaa hiki kimekusudiwa kutumiwa ndani na mbali na madirisha ili kutoa ulinzi wa kutosha. Kifaa (au antena inayopitisha) ambayo imesakinishwa nje inategemea leseni.
Kifaa hiki kinatii vikomo vya mfiduo wa mnururisho vya FCC/IC vilivyowekwa kwa mazingira yasiodhibitiwa na kinatimiza Miongozo ya Mfiduo ya mawimbi ya redio (RF) ya FCC katika Nyongeza C ya OET65 na RSS-102 ya sheria za Mfiduo wa mawimbi ya redio ya IC (RF). Kifaa hiki kinafaa kusakinishwa na kutumiwa kwa namna ambayo umbali wa kinururishi ni angalau 7.9 in. (20 cm) au zaidi mbali na mwili wa mtu (isipokuwa miisho: mikono, vifundo, miguu na tindi).