Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Mbinu hii hukuruhusu kuunganisha kichapishi moja kwa moja kwenye kifaa chako cha Android bila kipanga njia rahisi. Masharti yafuatayo yanahitajika ili kutumia kitendaji hiki.
Android 4.4 au toleo la baadaye
Toleo la 7.0 au la baadaye la Epson iPrint
Epson iPrint inatumika kuchapisha kutoka kwenye kifaa maizi. Sakinisha Epson iPrint kwenye kifaa maizi mapema.
Unahitaji kuunda mipangilio hii kwa kichapishi na kifaa maizi unachotaka kuunganisha mara moja. Isipokuwa ulemaze Wi-Fi Direct au kurejesha mipangilio ya mtandao kwa chaguo-msingi yake, huhitaji kuunda mipangilio hii tena.
Teua
kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Teua Wi-Fi Direct.
Bonyeza kitufe cha Sawa.
Teua Android.

Kwenye kifaa maizi, washa Epson iPrint.

Kwenye skrini ya Epson iPrint, donoa Printer is not selected.
Teua kichapishi unachotaka kuunganisha.

Tazama maelezo yaliyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya kichapishi ili kuteua kichapishi.

Vichapishi vinaweza kutoonyeshwa kulingana na kifaa cha Android. Iwapo vichapishi havijaonyeshwa, unganisha kwa kuteua Vifaa Vingine vya OS. Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini kwa muunganisho.
Wakati skrini ya uidhinishaji wa muunganishio wa kifaa imeonyeshwa, teua Idhinisha.
Wakati skrini ya uthibitisho wa usajili wa kifaa inaonyeshwa, teua iwapo unasajili kifaa kilichoidhinishwa kwenye kichapishi.
Kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, teua Imekamilika.
Kwa vifaa maizi ambavyo vimeunganishwa kwenye kichapishi mbeleni, teua jina la mtandao (SSID) kwenye skrini ya Wi-Fi ya kifaa maizi ili kuviunganisha tena.