Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Huduma ya Wavuti
Huonyesha kama printa imesajiliwa na imeunganishwa kwenye Epson Connect.
Unaweza kusajili kwenye huduma kwa kudonoa Sajili na ufuate maagizo.
Wakati umesajiliwa, unaweza kubadilisha mipangilio ifuatayo.
Sitisha/Endelea
Batilisha usajili
Kwa maelezo, tazama tovuti ifuatayo.
http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)
Huonyesha kama kichapishi kimesajiliwa na kimeunganishwa kwenye Google huduma ya Chapisho la Wingu.
Wakati umesajiliwa, unaweza kubadilisha mipangilio ifuatayo.
Wezesha/Lemaza
Batilisha usajili
Kwa maelezo katika kusajiliwa kwenye Google huduma ya Chapisho la Wingu, tazama tovuti ifuatayo.
http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)