Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.
Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Ukgz Nozeli ya Kichwa Chapa.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini kuchapisha ruwaza ya kukagua nozeli.
Chunguza muundo uliochapishwa. Ikiwa kuwa mistari iliyotengana au sehemu zinazokosekana kama ilivyoonyeshwa katika muundo wa “NG”, nozeli za kichwa cha kichapishi zinaweza kuzibwa. Nenda kwa hatua inayofuata. Ikiwa huwezi kuona mistari yoyote iliyotengana au sehemu zinazokosekana kama ilivyo katika muundo wa “OK”, nozeli hazizibwi. Teua
ili kufunga kipengele cha ukaguaji nozeli.

Teua
, na kisha ufuate maagizo kwenye skrini ili kusafisha kichwa cha kuchapisha.
Usafishaji unapokamilika, chapisha ruwaza ya ukaguzi wa nozeli tena. Rudia usafishaji na uchapishaji hadi mistari yote ichapishwe kabisa.