Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Unaweza kutuma faksi kwa kuingiza nambari za faksi kwa wapokeaji kwenye paneli dhibiti.
Weka nakala za kwanza.
Unaweza kutuma kurasa 100 kwa utumaji mmoja; hata hivyo kulingana na kiwango cha kumbukumbu kinachobakia, huenda usiwezi kutuma faksi iliyo na chini ya kurasa 100.
Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Bainisha mpokeaji.
Unaweza kutuma faksi moja ya monokromu kwa hadi wapokeaji 100. Hata hivyo, rangi ya faksi inaweza kutumwa tu kwa mpokeaji mmoja kwa wakati mmoja.
Ili kufuta wapokeaji uliowaingiza, teua uga ulio na orodha ya wapokeaji upande wa juu wa skrini ya LCD, teua mpokeaji kutoka kenye orodha, na kisha ubonyeze kitufe cha Sawa.
Teua kichupo cha Mipangilio ya Faksi, na kisha uweke mipangilio kama vile mwonekano na mbinu ya utumaji inavyohitajika.
Bonyeza kitufe cha
ili utume faksi.
Wakati utumaji umekamilika, ondoa nakala asili.
Ikiwa nambari ya faksi ina shughuli au kuna matatizo, printa hudayo upya kiotomatika baada ya dakika moja.
Ili ukatishe utumaji, bonyeza kitufe cha
.
Huchukua muda murefu kutuma faksi ya rangi kwa sababu printa hufanya utambazaji na utumaji kwa wakati mmoja. Wakati kichapishi kinatuma faksi ya rangi, huwezi kutumia vipengele vingine.