/ Mipangilio ya Faksi / Kuunda Mipangilio Kibinafsi kwa Vipengele vya Faksi ya Kichapishi / Kuunda Mipangilio ya Kutuma na Kupokea Faksi kwenye Kompyuta / Kufanya Mpangilio wa Hifadhi kwenye Kompyuta ili Pia Kuchapisha kwenye Kichapishi ili Kupokea Faksi

Kufanya Mpangilio wa Hifadhi kwenye Kompyuta ili Pia Kuchapisha kwenye Kichapishi ili Kupokea Faksi

Unaweza kuunda mpangilio ili kuchapisha faksi zilizopokewa kwenye kichapishi na pia kuzihifadhi kwenye kompyuta.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea.

  3. Teua Hifadhi kwenye Kompyuta > Ndiyo na Uchapishe.