/ Kutuma Faksi / Kupokea Faksi kwenye Kichapishi

Kupokea Faksi kwenye Kichapishi

Iwapo kichapishi kimeunganishwa kwenye laini ya simu na mipangilio msingi imekamilishwa kwa kutumia Sogora ya Mpangilio wa faksi, unaweza kupoklea faksi.

Kuna njia mbili za kupokea faksi.

  • Kupokea faksi zinazoingia

  • Kupokea fakdsi kwa kupiga simu (Kupokea Kura)

Faksi zilizopokewa zinachapishwa kwenye mipangilio ya kwanza ya kichapishi.

Ili kuangalia hali ya mipanmgilio ya faksi, unaweza kuchapisha Mipangilio ya Orodha ya Faksi kwa kuteua Faksi > (Zaidi) > Ripoti ya Faksi > Mipangilio ya Orodha ya Faksi.

Tazama “Maelezo Husiani” hapa chin ili kuunda mipangilio.