Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Unaweza kuangalia faksi mpya na hali ya operesheni kwa kutumia ikoni ya faksi iliyoonyeshwa kwenye mwambaa wa kazi wa Windows.
Angalia ikoni.
: Kukaa ange.
: Kuangalia faksi mpya.
: Kuleta faksi mpya kumekamilika.
Bofya kulia kwenye ikoni, na kisha ubofye Open the received fax folder.
Kabrasha la faksi iliyopokewa limeonyeshwa. Angalia tarehe na mtumaji kwenye jina la faili, na kisha ufungue faili ya PDF.
Wakati ikoni ya faski huonyesha kuwa inakaa ange, unaweza kuangalia faksi mpya papo hapo kwa kuteua Check new faxes now.
Faksi zilizopokewa zinabadilishwa jina kiotomatiki kwa kutumia umbizo lifuatalo la utoaji majina.
YYYYMMDDHHMMSS_xxxxxxxxxx_nnnnn (Mwaka/Mwezi/Siku/Saa/Dakika/Sekunde_nambari ya mtumaji)