/ Kutayarisha Kichapishi / Chaguo za Menyu kwa Mipangilio / Chaguo za Menyu kwa Mipangilio ya Mtumiaji

Chaguo za Menyu kwa Mipangilio ya Mtumiaji

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Mipangilio ya Mtumiaji

Unaweza kubadilisha mipangilio chaguo-msingi ya menyu zifuatazo.

  • Nakili

  • Tambaza kwenye Kompyuta

  • Tambaza kwa Wingu

  • Faksi