Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Zima vifaa unavyotaka kuunganisha kwenye mtandao. Subiri karibu sekunde 10, na kisha uwashe vifaa katika mpangilio ufuatao; kipanga njia pasiwaya, kompyuta au kifaa maizi, na kisha kichapishi. Sogeza kichapishi na kompyuta au kifaa mahiri karibu na kipanga njia pasiwaya ili kusaidia na mawasiliano ya mawimbi ya redio, na kisha jaribu kutengeneza mipangilio ya mtandao tena.
Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Ukaguzi wa Muunganisho, na kisha uchapishe ripoti ya muunganisho wa mtandao. Iwapo kosa limetokea, angalia ripoti ya muunganisho wa mtandao na kisha ufuate suluhisho zilizochapishwa.