/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Picha Iliyotambazwa / Matini Hayaonekani vizuri

Matini Hayaonekani vizuri

  • Kwenye Epson Scan 2, teua kichupo cha Mipangilio ya hali ya Juu, na kisha Chaguo la Picha > Uboreshaji Maandishi.

  • Kwenyen Epson Scan 2, whakati Aina ya Picha katika kichupo cha Mipangilio Kuu imewekwa kwa Ny'i na Nyeupe, rekebisha Kiwango cha juu kwenye kichupo cha Mipangilio ya hali ya Juu. Unapoongeza Kiwango cha juu, rangi nyeusi huwa thabiti.

  • Iwapo mwonekano uko chini, jaribu kuongeza ulinganuzi na kisha kutambaza.