Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Kuteua
kwenye Faksi kwenye skrini ya nyumbani huonyesha menyu ya Zaidi.
|
Kumbukumbu ya Upitishaji |
Unaweza kukagua historia ya kazi zilizotumwa au zilizopokewa za faksi. |
|
Ripoti ya Faksi |
|
|
Itisha Hati |
Wakati hii imewekwa kwa On na upige nambari ya faksi ya mtumaji, unaweza kupokea nyaraka kutoka kwenye mashine ya faksi ya mtumaji. Tazama taarifa husiani hapa chini kwa maelezo kuhusu jinsi ya kupokea faksi kwa kutumia Itisha Hati. Unapoondoka kwenye menyu ya Faksi, mpangilio hurudi kwenye Zima (chaguo-msingi). |
|
Chapisha tena faksi iliyopokewa |
Unaweza kuchapisha upya faksi iliyopokewa. |
|
Mipangilio ya Faksi |
Hufikia Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi. |