/ Kutatua Matatizo / Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch

Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch

  • Unganisha iPhone, iPad au iPod touch kwenye mtandao sawa (SSID) kama kichapishi.

  • Wezesha Onyesho Otom. Usanidi wa Karatasi kwenye menyu zifuatazo.

    Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Mipangilio Chanzo Karatasi > Onyesho Otom. Usanidi wa Karatasi

  • Wezesha mpangilio wa AirPrint kwenye Web Config.