Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini:
Faksi > Mipangilio ya Faksi
|
Mwonekano |
Teua mwonekano wa faksi inayotoka. Iwapo utateua mwonekano wa juu, ukubwa wa data unakuwa mkubwa na inachukua muda ili kutuma faksi. |
|
Uzito |
Huweka uzito wa faksi inayotoka. + hufanya uzito kolevu zaidi, na - huufanya mwepesi. |
|
Uta'ji Unao'a ADF |
Kutuma faksi kwa kuweka nakala asili moja baada ya nyingine, au kwa kuweka nakala asili kwa ukubwa, unaweza kuzituma kama waraka mmoja kwa ukubwa wake asili. Tazama maelezo husiani hapa chini kuhusu mada hii. |
|
Ukubwa Asili (Glasi) |
Teua ukubwa na uelekeo wa waraka halisi uliyowekwa kwenye glasi ya kichanganuzi. |
|
Hali ya Rangi |
Teua iwapo utatambaza kwenye rangi au katika monokromu. |
|
Tuma Moja kwa Moja |
Hutuma faksi ya rangi moja inapotambaza nakala asili. Kwa kuwa nakala asili zilizotambazwa hazihifadhiwi kwa muda kwenye kumbukumb u ya kichapishi hata wakati wa kutuma kiwango kikubwa cha kurasa, unaweza kuzuia makosa ya kichapishi kwa sababu ya kutokuwa na kumbukumbu. Kumbuka kuwa kutuma kwa kutumia kipengele hiki huchukua muda mrefu kuliko kutotumia kipengele hiki. Tazama maelezo husiani hapa chini kuhusu mada hii. Huwezi kutumia kipengele hiki wakati unatuma faksi kwa wapokeaji wengi. |
|
Tuma Faksi Baadaye |
Hutuma faksi wakati ambao ulibainisha. Faksi ya rangi moja tu ndio inayopatikana wakati unatumia chaguo hili. Tazama maelezo husiani hapa chini kuhusu mada hii. |
|
Ongeza Maelezo ya Mtumaji |
|
|
Ripoti ya Upitishaji |
Huchapisha ripoti ya usambazaji baada ya wewe kutuma faksi. Chapisha Hitilafu Ikitokea huchapisha ripoti wakati kosa hutokea tu. |