/ Mambo Msingi ya Uchapishaji / Usanidiwa Skrini Msingi

Usanidiwa Skrini Msingi

Huonyesha vipengee ambavyo vimesanidiwa kwa kichapishi kama ikoni. Teua ikoni ili kuangalia mipangilio ya sasa au fikia kila menyu ya mpangilio.

Mwambaa huu wa kitendo unaonyeshwa kwenye skrini ya nyumbani pekee.

Huonyesha kila modi.

Badili vichupo.

Huonyesha vipengee vya mpangilio. Teua kila kipengee ili kuweka au kubadilisha mipangilio. Vitendaji vinatofautiana kulingana na kila modi.

Vipengee vilivyo na rangi ya kijivu havipatikani. Teua kipengee ili kuangalia mbona havipatikani.

Vitufe vinavyopatikana vinaonyeshwa.