Bahasha za Kukunja

Baada ya kuchapisha mchoro wa bahasha, chapisha laha la maagizo linalokuonyesha jinsi ya kukunja bahasha, na kisha uweke laha la maagaizo upande wa juu wa mchoro na uzikunje pamoja.

  1. Chagua Maagizo ya Bahasha ya origami katika menyu ya Origami.

  2. Teua ukubwa wa bahasha ulioteua ili kuchapisha mchoro wa bahasha.

  3. Pakia karatasi tupu la A4 kwenye kichapishi, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  4. Ingiza idadi ya nakala, na kisha ubonyeze kitufe cha .

    Laha lifuatalo la maaguizo limechapishwa.

  5. Weka laha la maagizo upande wa juu wa mchoro wa bahasha, na kisha uzikunje pamoja ukifuata maagizo yaliyo kwenye laha la mchoro.

  6. Unapokamilisha, zikunjue na uondoe laha la maagizo, na kisha ukunje tu mchoro wa bahasha tena pamoja na mikunjo yake.