/ Mipangilio ya Mtandao / Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Unaweza kurejesha mipangilio yote ya mtandao kwenye machaguo-msingi yao.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, sogeza kulenga kwa kipengee kutumia vitufe vya , na kisha bonyeza kitufe cha OK.

  2. Chagua Rejesha > Mipangilio ya Mtandao.

  3. Angalia ujumbe, kisha uteue Ndiyo.

  4. Wakatu ujumbe wa ukamilisho umeonyeshwa, funga skrini.

    Skrini hufunga kiotomatiki baada ya kipindi maalum cha muda.