Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapisha Picha kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapa mbalimbali kwenye Paneli Dhibiti
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Unaweza kuchapisha nyaraka, barua pepe, picha, na kurasa zako za wavuti pasi waya kutoka kwenye simu au kompyuta yako ndogo ya Android (Android v4.4 au jipya zaidi).Kwa haatua chache, kifaa chako cha Android kitatatmbua kichapishi cha Epson ambacho kimeunganishwa kwa mtandao sawa wa pasi waya.
Weka karatasi katika kichapishi.
Sanidi kichapishi chako kwa uchapishi wa pasi waya.
Kwenye kifaa chako cha Android, sakinisha programu-jalizi ya Kiwezeshaji cha Kichapishi cha Epson kutoka kwa Google Play.
Unganisha kifaa chako cha Android kwenye mtandao sawa wa pasi waya kama wa kichapishi chako.
Nenda kwenye Mipangilio kwenye kifaa chako cha Android, teua Kuchapisha, na kisha uwezeshe Kiwezeshaji cha Kichapishi cha Epson.
Kutoka kwa programu-tumizi ya Android kama vile Chrome, donoa ikoni ya menyu na uchapishe chochote kilicho kwenye skrini.
Iwapo hutaona kichapishi chako, donoa Vichapishi Vyote na uteue kichapishi chako.