Kuweka Vipengee kwa Mipangilio Mahiri ya Mtandao

Teua kipengee cha mentu kwa mipangilio, na kisha uteue au ubainishe thamani za mpangilio.

  • Jina la Kifaa

    Unaweza kuingiza vibambo vifuatavyo.

    • Kiwango cha vibambo: 2 hadi 15 (lazima uingize angalau vibambo 2)

    • Vibambo vinavyotumika: A hadi Z, a hadi z, 0 hadi 9, -.

    • Vibambo ambavyo huwezi kutumia upande wa juu: 0 hadi 9, -.

    • Vibambo ambavyo huwezi kutumia upande wa chini: -

  • TCP/IP

    • Otomatiki

      Teua wakati unatumia kipanga njia pasiwaya cha nyumbani au unaruhusu anwani ya IP kupatikana kiotomatiki kwa DHCP.

    • Mwongozo

      Teua wakati hutaki anwani ya IP ya kichapishi kubadilishwa. Ingiza anwani kwa Anwani ya IP, Anwani Fiche, na Njia chagu-msingi, na uunde mipangilio ya Seva ya DNS kulingana na mazingira yako ya mtandao.

    Unapoteua Otomatiki kwa mipangilio ya kazi ya anwani ya IP, unaweza kuteua mipangilio ya seva ya DNS kutoka Mwongozo au Otomatiki. Iwapo huwezi kupata anwani ya seva ya DNS kiotomatiki, teua Mwongozo, na kisha uingize seva msingi ya DNS na anwani ya pili ya seva ya DNS moja kwa moja.

  • Seva mbadala

    • Usitumie

      Teua unapotumia kichapishi katika mazingira ya mtandao wa nyumbani.

    • Tumia

      Teua unapotumia seva ya proksi katika mazingira ya mtandao na unataka kuiweka kwenye kichapishi. Ingiza anwani ya seva ya proksi na nambari ya kituo.