Operesheni Msingi

Lenga kwa kutumia vitufe vya ili kuteua vipengee, na kisha kubonyeza kitufe cha OK ili kuthibitisha uteuzi wako au kuendesha kipengele kilichoteuliwa.

Lenga kipengee cha mpangilio kwa kutumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK ili kuwasha au kuzima kipengee.

Ili kuingiza thamani, jina, anwani, na kadhalika, lenga uga wa ingizo kwa kutumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK ili kuonyesha kibodi iliyo kwenye skrini.